Joel 2:23


23 aFurahini, enyi watu wa Sayuni,
shangilieni katika Bwana Mwenyezi Mungu wenu,
kwa kuwa amewapa mvua za vuli
kwa kipimo cha haki.
Anawapelekea mvua nyingi,
mvua ya vuli na ya masika, kama mwanzoni.
Copyright information for SwhKC